Monday 24 September 2012
Wednesday 19 September 2012
Wednesday 11 April 2012
Friday 2 September 2011
Watoto wanaoishi katika mazingira magumu (Most vulnerable children
Tanzania ni moja kati ya nchi nyingi barani Africa zinzokabiliwa na wimbi kubwa la watoto wanoishi katika mazingira magumu .
Utafiti ulliofanyika ulitambua makundi mbalimbali ya watoto hao ikiwa ni pamoja na -
1. Watoto yatima ( Orphan children)
2. Watoto wenye ulemavu ( Children with disabilities)
3.. Watoto wanaojilea ( Children parents)
4. Watoto wanaoishi na virusi vya ukimwi (Children with HIV/AIDS)
5. .Watoto wenye ulemavu wa ngozi (Albino)
6.. Watoto wa mtaani (Children in/of street)
7. Watoto walioathirika kwa ubakaji (Children victim of rape)
8. Watoto wanaolelewa na wazee kupindukia (Children in eldery families)
9. Watoto walio kwenye ajira hatarishi (Children in exploitative labour)
10. Watoto walio kwenye biashara ya ngono ( Children sex workers)
11. Watoto wenye magonjwa sugu k.m. kifafa ( Chronicaly ill children)
12. Watoto waliopata mimba za mapema (Early pregnancy)
13. Watoto waliotelekezwa (Children in foster families)
14. Watoto walioathirika kwa madawa ya kulevya (Drug abuse children)
15. Watoto waliolazimishwa kuingia kwenye ndoa (Forced marriage)
HOJA.
1. Jamii inajua nini kuhusu makundi haya ya watoto?
2. Mikakati gani ifanyike ili kuhudumia makundi haya ya watoto hasa vijijini?
3. Serikali ichukue hatua zipi ili kunusuru maisha na ongezeko la watoto hawa?
4. Njia gani zitumike ili kupata takwimu zinazoonyesha tatizo hili kila wakati kitaifa?

Thursday 1 September 2011
HATA WANAWAKE SASA WAMEINGIA LASMI KATIKA FANI YA WIZI,UJAMBAZI,NA UCHOMOAJI KAURI MBIYU YAO NI Haki sawa Kwa wote.
mwenye duka anamuamulu avue nguo zote |
anakimbilia katika tempo ya wahindi |
jamaa anamshushia kichapo |
anakimbia kujiokoa |
baada ya kuvuliwa nguo |
mmoja wa hao wadada wezi alifumaniwa katika duka la nguo hapo uhindini kahama mjini ni baada ya mwenye duka kutoka kwenda duka la pili kuomba chenji dada mwizi aliingia kama umeme na kukomba simu pamoja na pesa laki moja.kwa bahati nzuri kabla hajatoka humo dukani mwenye duka ailfika kafla na kumuuliza kwanini ameingia dukani bila idhini. baada ya mwizi kushindwa kujitetea alishushiwa kichapo ambacho kilisababisha baadhi ya watu kujaa hapo mwenye duka alimuamulu avue nguo zote na kuanza kumsachi alifanikiwa kupata vitu vyote.baada ya hapo alimtoa nje ndipo kundi la wananchi lilipo mvamia nakuanza kumpiga. kama si kukimbilia katika jumba la kuabudia wahindi basi pengine watu wangemuuwa.
Wednesday 31 August 2011
LAST OPPORTUNITY FILAM MPYA TOKA KAHAMA
PASCHAL JOHN MMOJA WA WASHIIRIKI WA FILAM HIYO AKIWA KATIKA MAZOEZI.
IKIWA HALI NDIYO HII TUTAEPUKA KIPINDUPINDU
samaki wanauzwa |
samaki wakiwa wanauzwa |
Hali inakuwa tata sana kwa wakazi wa Kahama ,ambapo inaonekana fika idara ya afya kushindwa kuwadhibiti wafanyabiashara wa samaki katika maeneo ya biashara .Inaonekana dhahiri mlipuko wa magonjwa yakipindupindu yaweza kutokea wakati wowote kutokana na kutokudhibiti hali ya usafi katika soko dogo wilayani Kahama.
TAMASHA LA VODACOM,CRDB,NA KAMPUNI YA BIA LASABABISHA USUMBUFU NA MSONGAMANO WA MAGARI KAHAMA.
Tamasha la vodacom linalo tarajiwa kufanyika leo mjini kahama limegeuka kelo kubwa na usumbufu baada ya kufungwa kwa barabara kuu.na badala yake kusimikwa jukwaa kubwa kwa ajili ya kufanyia tamasha hilo.huku huku viwanja vingi vya wazi vikiachwa bila sababu yoyote ya msingi
wasanii wanaotarajiwa kushiriki katika tamasha hilo ni pamoja na:
1.seif shabani aka matonya
2.ney wa mitego
3.joslin
4.quick racca
5.selemani msindi aka afande sele
pia watakuwepo na wasanii wa vichekesho
1.senga
2.pembe NA wengine kibaoo.

Thursday 18 August 2011
Subscribe to:
Posts (Atom)